Wenye nyumba wamethibitishwa na FN Home Link

Pata nyumba yako
kwa urahisi.

Tafuta chumba, self-contained, apartment, nyumba au fremu ya biashara mahali unapotaka — kisha wasiliana na mwenye nyumba moja kwa moja.

—Nyumba zilizopo
—Vyumba vipo wazi
—Wenye nyumba
—Watumiaji
Nyumba Mpya

Zilizowekwa hivi karibuni

Vyumba vilivyo wazi tu — vilivyopangishwa (occupied) havionyeshwi.

Hali ya vyumba: Available Ina interest Kitakuwa wazi karibuni Reserved
Tazama nyumba zote
Maeneo

Tafuta kwa mkoa

Mikoa yenye nyumba nyingi zilizopo sasa.

Angalia zote
Jinsi Inavyofanya Kazi

Kutoka kutafuta hadi kuhamia

Hakuna booking ya lazima wala malipo ya mtandaoni — unakubaliana na mwenye nyumba moja kwa moja.

01

Tafuta

Chuja kwa eneo, bei, aina na huduma unazohitaji.

02

Onyesha interest

Bonyeza "Nina Interest" — mwenye nyumba anapata taarifa papo hapo.

03

Angalia reviews

Soma maoni ya wapangaji waliopita kuhusu mwenye nyumba.

04

Tembelea & kubaliana

Nenda kuangalia nyumba, kisha kubaliana na mlipe nje ya mfumo.

05

Wasiliana ndani ya mfumo

Ukishasajiliwa, tuma ujumbe na upokee reminders za kodi na mkataba.

Kwa Nini FN Home Link?

Jukwaa la uaminifu kwa wapangaji na wenye nyumba

Wenye nyumba waliothibitishwa

Kila mwenye nyumba anakaguliwa (NIDA) na kuactivatiwa na admin kabla ya kufanya kazi yoyote.

Reviews za pande zote

Mkataba ukiisha, mpangaji na mwenye nyumba wanaandikiana reviews — historia inayojenga uaminifu.

Ujumbe ndani ya mfumo

Mpangaji na mwenye nyumba wanawasiliana ndani ya FN Home Link — kila kitu kimeandikwa.

Picha & video halisi

Hadi picha 8 na video fupi kwa kila nyumba, ili uone kabla hujasafiri kwenda kuangalia.

SMS & notifications

Reminders za kodi, mkataba na taarifa za dharura — moja kwa moja kwenye simu.

Akaunti salama

Kila mtumiaji anaona historia ya shughuli zake (logins, vifaa, mabadiliko).

Kwa Wenye Nyumba

Una nyumba, apartment, hostel au fremu ya kupangisha?

Sajili nyumba zako, simamia vyumba na wapangaji, ona historia na reviews za mpangaji kabla ya kumpangisha, na tuma SMS/notifications — kila kitu sehemu moja.

  • Property → Vyumba/Units → Wapangaji
  • Historia & reviews za mpangaji kabla ya kumpangisha
  • Ujumbe ndani ya mfumo na wapangaji wako
  • Notifications + SMS za kodi, mkataba na dharura
  • Mikataba (PDF), historia na activity log
FN Home Link Mobile App

Nyumba yako iko
mfukoni mwako.

Pakua FN Home Link App upate nyumba mpya mara zinapowekwa, hifadhi unazopenda, wasiliana na mwenye nyumba wako na pokea notifications za kodi na mkataba.

Notifications za nyumba mpya
Ujumbe na mwenye nyumba
Inafunguka haraka, data kidogo
Saved houses popote

Scan kwa simu
kufungua